29.2 C
Dar es Salaam
Friday, September 20, 2024

Contact us: [email protected]

Kandanda la vilabu kuendelea wikiendi hii

Zifuate Odds Bora Ukiwa na Meridianbet!

Michezo ya Ligi ya Mabingwa imetamatika kwa michezo ya mzunguko wa pili hatua ya makundi. Macho na maskio ya mashabiki wa soka, yatakuwa kwenye ligi mbalimbali barani Ulaya wikiendi hii. Mambo yapo hivi viwanjani wikiendi hii;

Lens uso kwa uso dhidi ya Reims katika muendelezo wa Ligue 1 kule nchini Ufaransa. Hakika, kuelekea mapumziko mafupi kupisha michezo ya Kimataifa, timu hizi zinahitaji matokeo chanya ndani ya dakika 90. Ifuate Odds ya 1.95 kwa Lens ndani ya Meridianbet.

Sema kimeumana kwenye LaLiga Sentander! Ni Atletico Madrid vs FC Barcelona pale Wanda Metropolitano, moto utawaka! Antoinne Griezmann na Luis Suarez kucheza na timu yao ya zamani – Barca. Huu ni msimu ambao mpaka sasa, Barca imepotea kwenye taswira ya ubingwa msimu huu. Itakuaje Jumamosi hii? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.10 kwa Atletico.

Ni Super Sunday ndani ya EPL. Anfield kuwakutanisha Liverpool vs Manchester City, timu mbili zinazopigiwa chapuo la ubingwa msimu huu. City ametoka kuwafunga Chelsea huku Liverpool akitoka sare na Brentford. Hapa Jurgen Klopp, kule Pep Guardiola. Meridianbet tumekuweka Odds ya 2.55 kwa City jumapili hii.

Tutaifungua wiki mpya kwa mchezo kati ya Academica Clincani vs Botosani, huu ni mchezo wa Ligi Soka nchini Romania. Unaweza kutengeneza faida kwa kila mchezo ndani ya Meridianbet. Ifuate Odds ya 1.90 kwa Botosani jumatatu hii.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles