23.9 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Kampuni ya Sukari ya Kilombero yadhamini tuzo za Consumer Choice Africa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Kama mzalishaji mkubwa wa sukari nchini Tanzania, Kampuni ya Sukari ya Kilombero (KSCL) iliungana na watumiaji kutambua chapa na watu bora kwa kudhamini Tuzo za Consumer Choice Africa.

Baada ya mchakato wa kupiga kura, hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Novemba 12, 2022 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Guy Williams (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mwakilishi kutoka Halotel wakati wa hafla ya Tuzo za Consumer Choice Africa.
Mkuu wa idara ya Mahusiano wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Ephraim Mafuru akijiandaa kukabidhi tuzo kwa baadhi ya washindi katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Guy Williams akitangaza washindi katika baadhi ya vipengele kwenye hafla ya Tuzo za Consumer Choice Africa.
Timu ya mauzo kutoka Kampuni ya Sukari ya Kilombero (KSCL) wakionyesha bidhaa za Bwana Sukari katika hafla hiyo.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles