24.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Kampuni upimaji ardhi matatani kwa kutapeli

Na Brighiter Masaki

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amevielekeza vyombo vya dola kumkamata mkurugenzi wa kampuni ya upimaji wa ardhi ya Geolink Solution Tanzania LTD kwa tuhuma za kukusanya fedha za wananchi zaidi ya sh. 18 milioni na kuingia mitini.

Fedha hizo za wananchi wa eneo la mtaa wa Mbezi kati  zilikuwa kwa ajili ya  upimaji wa ardhi.

Akizungumza na wananchi wakati wa ziara ya kusikiliza kero na migogoro ya jimbo la Kawe, Makalla ametoa  ameelekezo na kuzitaka kampuni zote zilizochukuwa fedha za wananchi na kuingia mitini wahusika wakamatwe.

“Kampuni zote zilizochukua fedha za wananchi na kuingia mitini wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria haraka iwezekanavyo.” amesema Makalla

Kero ya Wananchi hao zaidi ya 100 wa eneo la Maendeleo mtaa wa Mbezi Kati limeibuliwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo aliejumikana kwa majina ya Frank Mwanga.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles