22.2 C
Dar es Salaam
Saturday, October 1, 2022

JUSTIN TIMBERLAKE AMBWAGA SONIA MUCKLE

 

 

 

LOS ANGELES, MAREKANI


NYOTA wa muziki nchini Marekani, Justin Timberlake, ameachana na mmoja wa wafanyakazi wake, Sonia Muckle, baada ya kuwa pamoja kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20.

Kwa mujibu wa mtandao wa Us Weekly, Timberlake alikuwa hana furaha siku za hivi karibuni kufanya kazi na Sonia, ambaye amekuwa mmoja wa wasimamizi wazuri wa muziki wa msanii huyo.

Hata hivyo, Timberlake, hajazungumza lolote mara baada ya taarifa kuenea kuwa wawili hao kwa sasa hawafanyi kazi pamoja kama ilivyo zamani.

Sonia alitumia ukurasa wake wa Instagram na kuweka wazi kuwa, hakuna kinachoendelea kati yake na Timberlake. “Ni zaidi ya miaka 20 tumekuwa tukifanya kazi pamoja na Timberlake, lakini kila kitu kina mwisho wake,” aliandika mrembo huyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,373FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles