23.7 C
Dar es Salaam
Saturday, September 23, 2023

Contact us: [email protected]

JPM ATEUA MABALOZI WATANO KUIWAKILISHA TANZANIA KIMATAIFA

magufuli-bot-tanzania-paymentRais John Magufuli amewateua Mabalozi watano kuiwalisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

Mabalozi hao walioteuliwa na vituo vyao vya kazi ni kama ifiatavyo;

  1. Balozi Mbelwa Brighton Kairuki kwenda Beijing-China
  2. Balozi George Kahema Madafa kwenda Rome-Italy
  3. Balozi Emmanuel John Nchimbi kwenda Brasilia-Brazil
  4. Balozi Fatma M. Rajab kwenda Doha-Qatar
  5. Balozi Prof. Elizabeth Kiondo kwenda Ankara-Uturuki
  6. Balozi Dkt. James Alex Msekela kwenda kuiwakilisha nchi Geneva-Umoja wa Mataifa

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Kiongozi, John Kijazi, Mabalozi hao waatapishwa kesho tarehe 20 Januari, 2017 saa 10:30 jioni Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Wakati huo huo, Rais Magufuli amemtua Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi lakini kupangiwa kituo na kuapishwa kwake kutafanyika hapo baadae.

 

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,701FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles