33.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

JPM APIGA MARUFUKU SIASA VYUONI

Rais wa Dk. John Magufuli, akipungiana mikono na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao jana mjini Morogoro.
Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM   |

RAIS Dk. John Magufuli, amewataka wanafunzi wa elimu ya juu nchini kutogeuza vyuo kuwa maeneo ya kufanya siasa na badala yake wasome na kufanya utafiti.

Kiongozi huyo wa nchi alitoa agizo hilo jana alipofanya ziara katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kilichopo mkoani Morogoro.

Msingi wa agizo hilo, ulitokana na mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho ambaye pia ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi, Peter Masoi kumwomba Rais Magufuli awape namna bora ya ukosoaji ili taifa lisiwe na vijana wakaa kimya.

“Mheshimiwa Rais, wewe ni kati ya mifano mikubwa na mimi kama kijana naifuata na ninaamini wakati wa ujana wako haukuwa mkaaji kimya kama vijana ambao hivi sasa tupo.

“Vijana ambao tupo hivi sasa tunayaona mambo ambayo huwezi kukosoa tukiamini huo ndiyo uongozi bora, mimi nilikuwa naomba walau leo utupe ile ‘confidence’ ya kutoka hapa ili mradi tu tuwe na namna bora ya ukosoaji. Tusiwe na taifa ambalo lina vijana wakaa kimya, ambao wanaona mambo yanaharibika bila kusema,”alisema mwanafunzi huyo.

Akijibu hoja hiyo, Rais Magufuli aliwaeleza wanafunzi hao kuwa wako ……

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles