Matukio kwa picha tuzo za NBAA 2020

0
377
Kamishna wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dk. Charles Mwamwaja, akimkabidhi Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo, tuzo ya mshindi wa kwanza kwa upande wa taasisi za fedha ya uwasilishaji bora wa hesabu kwa mwaka 2018/2019 kwa kutumia viwango vya kimataifa vya kutayarisha hesabu zilizotolewa na NBAA.
Kamishna wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dk. Charles Mwamwaja, akimkabidhi Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo, tuzo ya mshindi wa kwanza kwa upande wa taasisi za fedha ya uwasilishaji bora wa hesabu kwa mwaka 2018/2019 kwa kutumia viwango vya kimataifa vya kutayarisha hesabu zilizotolewa na NBAA. Waliombatana naye ni Mkuu wa Kitengo cha Uwasilishaji wa Taarifa za Fedha, Fortunata Skauiki na Hemedi Mkuku, Meneja Mwandamizi wa Uwasilishaji Taarifa za Fedha Benki ya CRDB.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here