27.1 C
Dar es Salaam
Thursday, December 7, 2023

Contact us: [email protected]

Jorginho kurejea Italia?


WAKALA wa Jorginho amesema kiungo huyo wa Chelsea
anavutiwa na mpango wa kurejea Ligi Kuu ya Italia (Serie
A) alikowahi kutamba na Napoli.

Hiyo ni habari mbaya kwa Chelsea kwani Jorginho ni
mchezaji muhimu kikosini, hasa msimu uliopita alipoipa
taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Akiwa amebakiza miaka miwili kwenye mkataba wake na
Chelsea, wakala Joao Santos amesema kwa sasa ni
mapema kuzungumzia hatima ya Jorginho lakini Juventus
wameonesha nia ya kumrudisha Italia.

“Ni wazi kabisa… Ana miaka miwili kwenye mkataba wake
na kama ilivyo kawaida, klabu itampa mkataba mpya akiwa

amebakiza miezi 12. Ngoja tuone kitakachotokea
mwakani.”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles