28.6 C
Dar es Salaam
Friday, January 28, 2022

Jelly Brown amtupia AT kwenye ‘Mwandani

NA CHRISTOPHER MSEKENA

KUTOKA nchini Australia, msanii wa Bongo Fleva, Jeleve Sinzinkayo ‘Jelly Brown’, amewashukuru wapenzi wa muziki huo kwa kuipokea ngoma yake, Mwandani aliyomshirikisha mkali wa mduara, AT.

Jelly, ameliambia MTANZANIA kuwa ngoma hiyo ambayo imetoka wiki iliyopita, imepokewa vizuri na mashabiki kutoka Afrika Mashariki hasa ukizingatia ni mchanganyiko wa ladha tofauti.

“AT ni msanii mkubwa sana na nimefurahi kumshirikisha kwenye ngoma hii, humo ndani amefanya kitu tofauti mashabiki wamefurahia burudani, audio na video tayari zipo kwenye chaneli yangu ya YouTube hivyo naomba sapoti,” alisema Brown.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
177,065FollowersFollow
532,000SubscribersSubscribe

Latest Articles