21.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

Je Umeshawahi Kubashiri Bila Intaneti? Unaweza Hili Ukiwa na Meridianbet USSD!

Hauhitaji kuwa gwiji wa ubashiri kushinda beti! Watu wengi Duniani wamekuwa wakipenda kubashiri mechi mbalimbali na kujiweka katika nafasi ya kushinda pesa kubwa, ambazo wakati mwingine hubadilisha kabisa maisha yao.

Lakini je ulishawahi kubashiri kwa kutumia kitochi au bila bando? Tunaweza kusema kwa simu ya batani, kwa kitochi, au kiswaswadu uukiwa huru bila kutumia Intaneti?  Ni rahisi sana hasa ukiwa na Meridianbet. Hapa, nakumegea madini ya kubashiri kwa USSD, na kukuweka karibu na ushindi.

Kama ndiyo mara yako ya kwanza kubashiri kwa USSD au bila bando, basi hatua ya kwanza unajisajili na Meridianbet kupitia USSD kwa kubonyeza *149*10# kwa Tigo au Airtel, utahitaji kubadilisha lugha na kukubali vigezo na masharti, baada ya hapo utapata ujumbe wa ukaribisho na Utakuwa tayari kuanza safari yako ya ushindi.

Hatua ya pili, unahitaji kufahamu jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti ya Meridianbet USSD Kwa TIGO

Ingia kwenye menu ya Tigopesa na kisha bonyeza *150*01# halafu bonyeza namba 4 ambayo ni lipa bili, Kisha namba 3 kuweka namba ya biashara ambayo ni 777111, halfu baada ya hapo utaweka kumbukumbu namba ambayo ni nambari yako ya simu ya Tigo mfano 0712430278.

Zingatia kuwa. Akaunti namba ya Meridianbet USSD ni tofauti na Akaunti namba ya Meridianbet.co.tz. Hapo kwa Watumiaji wa Tigo kazi inakuwa imeishia hapo kwenye kujisajili, inabaki wewe tu kubashiri mechi zako na ujishindie.

Unatumia Airtel? Hivi ndivyo unavyoweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya USSD!

Hatua ya kwanza, Bonyeza *149*10#, halafu bonyeza namba 5 ambayo ni kwenye waleti na akaunti, baada ya hapo bonyeza namba 1 kuweka pesa kwenye waleti ya Meridianbet. Kisha utaweka kiasi cha pesa unachotaka kuweka kwaajili ya kubashiri mfano 2000/=.

Ukikamilisha hatua ya kwanza hapo juu, utaletewa ujumbe unaokutaka uweke namba yako ya siri ya Airtel Money ili pesa yako iweze kuwekwa kwenye waleti ya Meridianbet USSD. Unashauriwa kuweka namba ya siri utakayoikumbuka muda wote.

Unahitaji kukumbuka kuwa, kiwango cha chini cha kuweka pesa kwaajili ya kubashiri ni shilingi 500/= Kwenye USSD.

Unajiuliza namna ya kutoa pesa kwenye akaunti yako ya USSD?

Usijali, unaweza kutoa pesa wakati wowote. Usiumize kichwa, ni rahisi tu! Bonyeza*149*10 Tigo au Airtel, Kisha bonyeza namba 5 ambayo ni waleti na akaunti.  Bonyeza namba 2 kutoa pesa, ambapo hapo utaandika kiasi cha pesa unachotaka kutoa kisha utasubiri meseji ya uthibitisho wa kupokea pesa yako.

Promosheni Bomba na USSD!

Meridianbet USSD inakuletea promosheni kabambe kabisa mwezi huu, ambapo ili uweze kushiriki unatakiwa uandae mkeka wako wenye timu kuanzia 5 na zaidi ili ujiweke kwenye nafasi ya kushinda pikipiki na simu ya mkononi ya Android, mwisho wa shindano hili ni Oktoba 31. Mshindi atatangazwa kwa njia ya ujumbe mfupi (sms).

Jinsi ya Kubashiri na Kuona Tiketi Zako

Kuanza kubashiri kwa USSD unahitaji kubonyeza menyu ya kubashiri kwa USSD kama ulivyoanza wakati wa kujisajili, *149*10# kisha tazama michezo unayopenda kubashiri na kukamilisha tiketi yako.

Usiwaze kuhusu wapi utaziona tiketi zako ulizocheza kwa USSD. Ukibonyeza *149*10# halafu bonyeza namba 5, hapa utaona tiketi zako hadi 5 za mwisho. 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles