22.4 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

JDART amtupia Aby Moniq kwenye ‘Sidung’

Tokyo, Japan

Staa wa muziki mwenye asili ya Jamaica anayeishi nchini Japan, JDART Muzik, ameibuka kivingine na wimbo Sidung aliyoshirikiana na mrembo Aby Moniq.

JDART ameiambia www.mtanzania.co.tz kuwa Aby Moniq ni msanii wake kutoka Dart Nation na ana furaha kumpa shavu kwenye video hiyo ambayo tayari inafanya vizuri kwenye mitandao mbalimbali.

“Aby ni msanii mkali sana na huu ndio muda wake, naamini kwenye video hii ya Sidung mashabiki watajionea na kupata ladha mpya, naomba wapenzi wetu waendelee kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii ya @jdartmuzik na @aby_moniq na watupe maoni yao,” amesema JDART ambaye ana miliki Studio za Cutsleeve Records.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,303FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles