26.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, March 26, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Jaguar kuwaokoa watoto wa mitaani

jaguarNAIROBI, KENYA

MKALI wa muziki nchini Kenya, Charles Kanyi ‘Jaguar’ amesema yupo tayari kuwasaidia watoto wa mitaani ambao wamekosa elimu na hawajui njia za kutafuta fedha.

Msanii huyo ameanzisha chuo kitakachotoa elimu ya ufundi wa aina mbalimbali, huku akiwalenga watoto wa mitaani ambao hawana kwa kupata elimu zaidi ya kuhangaika mitaani.

“Kuna watoto wanaojiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya na unywaji wa pombe kutokana na kukosa shughuli za kufanya.

“Nimeona ni bora nifungue chuo ‘Unity College’ kwa ajili ya kuwasaidia vijana ambao wanataka kupate elimu ya ufundi, lakini wamekosa fedha za kujiunga na chuo, hivyo chuo hicho hakitakuwa na malipo kwao,” alisema Jaguar.

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
596,000SubscribersSubscribe

Latest Articles