Italian Serie A imerejea ni burudani!

25
413

Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena.

Kwanzia leo, tutakuwa na uwezo wa kufurahia Ligi nyingine ya mpira wa miguu ikicheza. Sote tunafahamu orodha ya ubashiri haipendezi kama Serie A haipo.

Kurejea kwake ni kama mpira halisi umemkuta anae bashiri, na ofa maalum kutoka Meridian huwezi kuikataa kwani kuna ofa ya machaguo Zaidi ya 5000 kwa siku tatu tu!

Hali ilivyo sio ya kutabirika – Lazio wapo makini kwenye mashindano wakiwa alama moja nyuma ya Juventus, ambao tayari wamepoteza Kombe la nyumbani dhidi ya wapinzani wao Napoli. Atalanta na Roma wanapambania nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa, wakati Milan wanaangalia uwezekano wakupata nafasi itakayopatikana  kwenye Ligi ya Europa kutoka kwa Napoli.

Kwa sasa, Inter ndio timu iliyopo kwenye nafasi nzuri, akishikia nafasi ya tatu wakati mapigano yakiendelea juu na chini. Taji watalikosa, lakini watajihakikishia kushirikia Ligi ya Mabingwa UEFA msimu ujao.

Mechi zilizosalia kukamilisa mzunguko wa 25 zitaanza leo na kesho.
Unaweza kuona tarehe za mechi hapo chini na bonyeza kila moja kujionea odds na upate chaguo lako:

Jumamosi:

19.30 Turin – Parma

21.45 Verona – Cagliari

Jumapili:

19.30 Atalanta – Sassuolo

21.45 Inter – Sampdoria Kwa kurejea kwa Serie A, hatimaye tunaweza kusema ligi bora zimerejea, na kwa hii unapata ofa nyingi nzuri zaidi na nafasi kubwa ya ushindi. Unaweza kutumia nafasi hii kufurahia ofa mbalimbali za Meridianbet kwa wateja wapya na wateja wa zamani. Ukifungua akaunti ya Meridianbet unapata mizunguko 50 ya bure, kwa wateja wa wasio wapya unapata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuweka pesa kuanzia 5000 Tsh. Meridianbet inaweza kukulipia tiketi yako ya kwanza utakayopoteza kama utaweka tiketi yako ya kwanza ya kati ya 10000-12500.

25 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here