25.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 29, 2022

Contact us: [email protected]

‘I’m In Love’ ya Jando yaingia mtaani

TEXAS, MAREKANI

MSANII wa kizazi kipya anayeiwakilisha vyema Afrika Mashariki huko Texas, Marekani, Soso Jando, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea ngoma yake, I’m In Love aliyoiachia hivi karibuni mtandaoni.


Akizungumza na MTANZANIA, Jando alisema baada ya kimya cha muda mrefu ameamua kurudi na wimbo huo ambao ana amini utakata kiu ya mashabiki zake.


“Nipo kwenye maandalizi ya EP yangu inayoitwa Yebo Nation ambayo itatoka mwakani, baada ya kufanya vizuri na Come Closer nimeachia I’m In Love, imetengenezwa na prodyuza Yogo Beats hapo Bongo hivyo naomba sapoti kutoka kwa mashabiki wote,” alisema Jando mwenye asili ya Burundi na Tanzania.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,454FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles