Idris Sultan azindua tamthilia

0
1074

NA JEREMIA ERNEST

MCHEKESHAJI mahiri nchini, Idris Sultan amezindua tamthilia ya Nakupenda Kufa msimu wa kwanza na wapili katika hotel ya Hyyat jijini Dar es salaam.

Akizungumza katika uzinduzi huo amesema tamthilia hiyo iliyosheheni burudani na mafunzo mengi itakuwa ikipatikana katika App ya Mptv.

“Hii tamthilia ina mafunzo mengi kwa sababu utunzi wake nimejikita zaidi katika visa vinavyotokea katika jamii yetu pia kuna burud kuwataka mashabiki wasitie shaka kuitazama katika mtandao huo wa Mptv.

Hafla ya uzinduzi huo ilihudhuriwa na wasanii kutoka tasnia tofauti akiwemo Wema Sepetu, Rose Ndauka, Bilinas na mbunifu Ally Rehmtulla.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here