29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

HUDDAH AMUWEKA WAZI MPENZI MWINGINE

Huddah-Monroe-Image-from-izvipi-533x600NAIROBI, KENYA

MREMBO ambaye hakauki kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, Huddah Monroe, kupitia akaunti yake ya
Instagram, amemuweka wazi mpenzi wake mpya.

Huyo atakuwa mpenzi wake wa pili kumtambulisha mwaka huu, hivyo aonekana kuwa hawezi kudumu na mwanaume kwa muda mrefu tangu alipoachana na mkali wa kupiga pamba nchini humo CMB Prezzo.

Huddah aliandika: “Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaweza kumbadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya, hivyo nimerudi tena kwenye uhusiano na mwanaume mwingine ambaye naamini tutaendana sawa.”

Ujumbe huo ulionekana kupokelewa tofauti na baadhi ya mashabiki ambapo wengi walimtaka mrembo huyo
kutulizana na mpenzi mmoja.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles