24.7 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 8, 2024

Contact us: [email protected]

Hatma ya Malkia wa meno ya tembo leo

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumanne Februari 19, hii inatarajia kusoma hukumu dhidi ya malkia wa meno ya Tembo, Yang Feng Glan na wenzake wawili.

Hukumu hiyo itasomwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi ambaye leo anatarajia kusoma hukumu.

Washtakiwa katika kesi hiyo ni raia wa China, Yang Feng Glan(66), Salvius Matembo Philemon Manase.

Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na biashara haramu ya Meno ya Tembo yenye thamani ya Sh bilioni 13 kinyume cha sheria.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles