27.7 C
Dar es Salaam
Saturday, June 10, 2023

Contact us: [email protected]

HAMISA MOBETTO NA 40 YA MWANAYE

LICHA ya kuendelea kuwaficha mashabiki baba halisi wa mtoto wake wa pili aliyemtaja kwa majina ya Abdul Nasibu, mwanamitindo, Hamisa Mobetto ameanza kufanya maandalizi ya kusherehekea siku 40  za mwanaye huyo kuzaliwa ambaye mpaka sasa hakuna aliyebahatika kuiona sura zaidi ya ndugu zake wa karibu.

Katika ukurasa wa Instagram wiki hii, Mobetto amekuwa akiyanadi mavazi ya Kihindi na Kiarabu ambayo mashabiki wanadai ndiyo atayavaa siku hiyo ya sherehe ya mwanaye:

-I am a warrior I reach for my sword even when I stumble upon a stone.

@hamisamobetto

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,414FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles