Haki Elimu: Ukatili shuleni wawanyia amani kimasomo wanafunzi

0
733
Mwanafunzi Sebastian Chinguku
Mwanafunzi Sebastian Chinguku
Mwanafunzi Sebastian Chinguku

Shirika la Haki Elimu limesema tukio la adhabu ya kikatili aliyopewa mwanafunzi Sebastian Chinguku ni sehemu tu ya matukio mengi ya ukatili wanayofanyiwa wanafunzi mashuleni.

Mbali na hilo wamesisitiza kuwa matukio hayo ya kikatili yamezifanya shule kutokuwa sehemu rafiki na salama kwa wanafunzi na hivyo kuwa na athari kubwa katika juhudi zao za kujifunza

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here