23.9 C
Dar es Salaam
Monday, September 20, 2021

Grace Maisha kuna na ‘Mwaminifu’

Na CHRISTOPHER MSEKENA

MWIMBAJI wa Injili kutoka nchini Marekani, Grace Maisha, amewaomba wapenzi wa muziki huo kukaa tayari kwaajili ya kupokea wimbo wake mpya, Mwaminifu.

Akizungumza na MTANZANIA, Grace alisema anawashukuru mashabiki kwa mapokezi mazuri ya wimbo wake, Natosheka na sasa yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha video ya Mwaminifu.

“Muda wowote kutoka sasa nitaachia wimbo mpya, Mwaminifu, mashabiki wakae tayari, wawe karibu na mitandao yangu ya kijamii hasa YouTube kwa ku-subscribe ili nikiitoa waweze kuipata na kubarikiwa nayo,” alisema mwimbaji huyo mwenye asili ya Burundi.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
156,961FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles