Giroud kuongeza mingine Chelsea

0
1019

LONDON, England 

KLABU ya Chelsea hawana mpango wa kumuuza straika wao Olivier Giroud, na wapo mbioni kumwongeza mkataba mpya.

Awali Giroud alitakiwa kuondoka kipindi cha usajili wa kiangazi, Juni mwaka huu.

Giroud ataongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kukipiga Darajani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here