31.2 C
Dar es Salaam
Saturday, December 2, 2023

Contact us: [email protected]

GGML yang’ara tuzo za TRA

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Ltd. (GGML) imetambuliwa kwa mara nyingine tena kama mlipa kodi wa viwango vya juu katika sekta ya madini kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Pia imetambuliwa kama kampuni iliyozingatia kiwango bora cha thamani ya bidhaa zilizosafirishwa nje ya nchi mwaka 2021/2022.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Chande (kushoto) alikabidhi tuzo hiyo kwa Meneja Mwandamizi wa Fedha kutoka GGML, Ikingo Gombo (katikati) na Meneja Utatuzi wa Migogoro ya Kodi Godvictor Lyimo kutoka GGML.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles