25.5 C
Dar es Salaam
Monday, November 29, 2021

Future adai mke wake tapeli

Califonia, Marekani 

RAPA Nayvadius Wilburn maarufu kwa jina la Future, ameweka wazi kuwa, mama wa mtoto wake Eliza Seraphin ni tapeli kwa kuwa anajipatia fedha kwa kuzusha kesi ambazo hazina ukweli.

Awali mrembo huyo alimfikisha Future mahakamani kwa madai kuwa anashindwa kumuhudumia mtoto wao Reign, lakini sasa anatumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kumchafua.

“Awali nilipelekwa mahakamani kwa ajili ya huduma za mtoto, kesi hiyo ikaisha, lakini haikutosha nikaambiwa nina watoto wengine wa nje ambao hawajulikani kwa jamii na sasa nazidi kuchafuliwa kwenye mitandao kuwa ana ujauzito wangu.

“Nimegundua kuwa anatumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kunichafua na pia ni sehemu moja wapo ya kujitafutia fedha, huu ni utapeli,” alisema rapa huyo.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,301FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles