22.2 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

Fomu za Siku ya Msanii zaanza kutolewa

4AC12074F8EC45D881DE6ADB816409EB

NA SALMA MPELI,

FOMU za kushiriki tamasha la Siku ya Msanii, zimeanza kutolewa kwa ajili ya kushiriki kwenye sherehe hizo zilizopangwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Akizungumza na BINGWA jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya Haak Neel Production, Justine Kussaga, alisema fomu zimeanza kutolewa kupitia vyama vya wasanii wa nchini, kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo.

“Maandalizi yanaendelea na kila kitu kinakwenda sawa, fomu zimeanza kutolewa kwa wasanii kupitia kwa vyama vyao kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo,” alisema.

Siku ya Msanii inafanyika Oktoba ya kila mwaka ambapo wasanii mbalimbali wanakutana na kuwasilisha kazi zao huku tuzo zikitolewa kwa wasanii hao, kauli mbiu ya mwaka huu ni ‘Nguvu ya Sanaa’.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,717FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles