22.9 C
Dar es Salaam
Monday, September 9, 2024

Contact us: [email protected]

Foleni ya Nigeria yamchanganya Trey Song

Trey SongLAGOS, NIGERIA

MKALI wa muziki wa RnB nchini Marekani, Tremaine Neverson ‘Trey Songz’, ameshangazwa na foleni ya nchini Nigeria baada ya kuwasili nchini humo kwa ajili ya kufanya shoo kwenye Sikukuu ya Krismasi.

Shoo hiyo ilipigwa kwenye ukumbi wa Eko Convention Centre, mjini Lagos, lakini baada ya msanii huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege alitumia saa 2 kutoka uwanjani hapo hadi kwenye hoteli ambayo alifikia.

“Ni mara yangu ya kwanza kuona foleni ya magari kama niliyokutana nayo Nigeria, nimetumia saa 2 kutoka uwanja wa ndege hadi hotelini, ni kitu cha kushangaza kwangu,” alisema Trey Song.

Msanii huyo aliwapagawisha mashabiki waliojitokeza katika shoo hiyo ambapo walimuomba avue fulana ambalo alilivaa kwa ajili ya kumuangalia mwili wake ambao umekuwa ni kipenzi kwa warembo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles