23.9 C
Dar es Salaam
Thursday, September 29, 2022

Famba amtambulisha Difficile 5G

BUJUMBURA, BURUNDI

KUTOKA nchini Burundi, meneja maarufu wa wasanii, Happy Famba, amemtambulisha msanii wake mpya, Difficile 5G kupitia lebo ya The Fighter Production.

Akizungumza na MTANZANIA, Famba alisema kipaji cha Difficile 5G kiligundulika akiwa kwenye bendi ya Peace And Love ambapo alikuwa akiimba na kupiga gitaa.

“Nikiwa kama CEO wa The Fighter Production, napenda kuwajulisha mashabiki zangu wa Tanzania kuwa tuna msanii mpya Difficile 5G ambaye tayari ana ngoma mbili ambazo ni Mama na Bien Bien Bien.

“Huku Burundi watu wameshaanza kumuelewa na nyimbo zake zinachezwa kwenye vyombo vya habari, sasa hivi tunataka pia na mashabiki wetu hapo Tanzania wampe sapoti,” alisema Famba.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,298FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles