24.8 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Fainali ya EUROPA Legue kupigwa wiki hii

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Mwisho wa safari moja ni mwanzo wa nyingine! Huku ligi mbalimbali zikitamatika, ligi nyingine zimeanza na fainali kubwa kibao kupigwa wiki hii. Meridianbet imekuandalia Odds za kijanja sana kwenye mechi hizo, bashiri sasa!

Jumanne hii, kule Red Star Stadium kutakuwa na fainali ya Serbian Cup, ambapo Crvena Zvezda watakuwa na kibarua cha kucheza na Partizan. Mechi hii ni kubwa sana huko Serbia, na Meridianbet kutambua ukubwa wake tumekuwekea Odds ya 2.45 kwa Crvena Zvezda.

Siku ya Jumatano kutakuwa na kilele cha Ligi ya Europa. Manchester United watakuwa kibaruani kupambana na Villareal, katika fainali ya Europa League. Ukichagua kubashiri na Meridianbet, Odds ya 1.93 imewekwa kwa Manchester United kwa ajili yako!

Na Alhamis, kule Norway, kutakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya Sandefjord vs Rosenborg. Ligi ya Eliteserien ndo kwanza imepamba moto. Merididianbet wameweka Odds ya 1.65 kwa Rosenborg ili kukufaidisha,bashiri sasa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,264FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles