23 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Fainali mbili kuchezwa wikiendi hii

Tengeneza Faida Kupitia Euro 2020 na Copa America.

Baada ya safari iliyodumu kwa takribani mwezi mmoja, hatimaye mashindano ya Copa America na Euro 2020 yanafikia tamati wikiendi hii. Fainali zote za moto!

Kabla ya kuianza michezo ya fainali, Ijumaa hii St Patrics watachuana na Derry City katika muendelezo wa Ligi ya Ireland. Meridianbet tunakupatia Odds ya 1.80 kwa Patrics kwenye mchezo huu.

Jumamosi kutakua na mtanange wa Brann vs Tromso kunako Ligi Soka nchini Norway. Hapa unaweza kutengeneza faida kwa kuwapatia dau lako Brann. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.15 kwa Brann.

Alfajiri ya kuamkia Jumapili, Copa America itafikia tamati kule nchini Brazili. Dakika 90 kuamua nani bingwa wa mashindano haya – ni Brazili vs Argentina. Hapa Lionel Messi, kule Neymar Jr, hapatoshi! Kuna Odds ya 2.25 kwa Brazili kwenye mchezo huu ukichagua kubashiri na Meridianbet.

Jumapili usiku mambo yatataradadi maradufu! Tutakutana kwenye dimba la Wembley kushuhudia mchezo wa fainali ya Euro 2020. Safari hii ni Uingereza vs Italia. Timu pekee zenye clean sheets nyingi (4 kwa 5) kwenye mashindano haya. Baada ya miaka 55, Uingereza wanafanikiwa kucheza fainali, watafanikiwa kubakiza kombe nchi au Italia watasepa na kijiji? Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.80 kwa Uingereza.

Baada ya kuburudika na fainali zote wikiendi hii, Meridianbet tunakupa fursa ya kuianza wiki yako kwa mchezo maridadi kunako Ligi ya Sweden. Halmstad vs Djurgarden kuchuana mapema wiki ijayo. Hapa kuna Odds ya 1.95 kwa Djurgarden kupitia Meridianbet.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,250FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles