26.4 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Faida, hasara kusafirisha mzigo kwa njia ya bahari

sea-cargo-forwarding

Na FARAJA MASINDE,

USAFIRI wa baharini licha tu kuwa hutumika kusafirisha watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine, pia hutumiwa na wafanyabisashara katika kusafirisha au kupokea mizigo ya masafa marefu njia ambayo hutajwa kuwa rahisi katika usafirishaji wa mizigo hiyo mikubwa.

Kwa mara nyingi, mizigo hii ambayo husafirishwa kwa njia ya bahari kwa kutumia meli, hubebwa kwenye makontena maalumu ambayo hupangiliwa kwa saizi.

Lakini pia bahari hii ndiyo hutumika kusafirisha mafuta, nafaka na makaa ya mawe.

Hapa chini kuna faida na hasara za kusafirisha mzigo kwa njia ya bahari.

Faida

  • Ni njia bora kwa ajili ya kusafirisha mizigo mizito na mafuta
  • Ni rafiki kwa bidhaa zinazotoka mbali na zinazochukua muda mrefu

Hasara

  • Safari zake huwa ndefu ambapo huchukua siku nyingi kufika
  • Kuchafuka kwa bahari huweza kuhatarisha usalama
  • Si rahisi kuwa na takwimu za uhakika juu kuhusu mahli mzigo ulipofika
  • Ushuru mkubwa wa Forodha na vikwazo
  • Inagharimu kiasi kikubwa cha fedha
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles