Everton kusajili mtu Juventus

0
179

KLABU ya Everton inaangalia uwezekano wa kumchukua beki wa Juventus na timu ya taifa ya Uturuki, Merih Demiral.

Wakati huo huo, bado Everton inavutiwa na Olivier Giroud anayeweza ‘kusepa’ Chelsea mwishoni mwa msimu huu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here