22.8 C
Dar es Salaam
Saturday, June 3, 2023

Contact us: [email protected]

EURO 2020 Kukaribishwa na mechi kali za kimataifa

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Baada ya kumaliza mishemishe za vilabu na odds kubwa sana, sasa Meridianbet inakupa ushindi wa kibingwa sana katika mechi za kimataifa. Wachezaji wakubwa duniani wanaenda kuwakilisha nchi zao na Meridianbet tunakuhakikishia kuwa odds kubwa na za kijanja sana zipo katika mechi hizo, bashiri sasa!

Jumanne hii, kutakuwa na mechi ya kirafiki kabla ya michuano ya EURO 2020, Poland watakuwa nyumbani kuwaalika Russia. Meridianbet imekuwekea Odds ya kirafiki ya 2.35 kwa Poland ili kukupa ushindi mnono.

Siku ya jumatano, kutakuwa na mchezo kuchukua bingwa wa U-21, ambapo Ujerumani watakuwa nyumbani kucheza na Denmark, kwa upendo mkubwa kabisa, Ujerumani wamewekewa Odds ya 2.25 na Meridianbet kwa ajili yako!

Na siku ya Alhamis sasa, michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 itaendelea, Venezuela watakuwa ugenini kuvaana na Bolivia. Kwa kuthamini ushindi wako, Meridianbet imekuandalia Odds ya 2.00 kwa Bolivia.

Ni rahisi sana kuwa bingwa wiki hii, cha kufanya nikuchangamkia fursa tu. Piga *149*10# kujiunga au tembelea www.meridianbet.co.tz na ujiunge na familia ya mabingwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,270FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles