23 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

Esther Amisi toka DRC aachia ‘Unachoka Bure’

Na Mwandishi Wetu, Goma

MWIMBAJI nyota wa Injili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Esther Amisi, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuupokea video ya wimbo wake mpya, Unachoka Bure.

Akizungumza na www.mtanzania.co.tz Esther amesema ujumbe uliopo kwenye wimbo huo umewalenga watu wanaowachukia watu waliobarikiwa bila kujua aliyewapa baraka hizo ni Mungu mwenyewe.

“Nimetoa wimbo mpya unaitwa Unachoka Bure ambao video yake ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube ya ESTHER AMISI OFFICIEL, nimeimba watu waache chuki kwa watu waliofanikiwa kwasababu ni Mungu amewawezesha hivyo kushindana nao au kuwachukia ni kujichosha,” amesema Esther.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,305FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles