23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

ESL yapingwa, Perez aitetea

Madrid, Hispania

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez, amejitokeza kuisifia Ligi Kuu ya Ulaya (ESL), michuano mipya inayotarajiwa kuanza siku za usoni.

Madrid ni sehemu ya klabu 12 za soka zilizokubali kushiriki Ligi hiyo inayotajwa kuwa na lengo la kuiua Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Huku Shirikisho la Soka la Ulaya (ÚEFA) likiungana na wakosoaji wengine, Perez anaamini ESL imelenga kuokoa uchumi wa soka ulioathiriwa na ugonjwa wa Corona.

“Kokote kwenye mabadiliko, lazima kutakuwa na watu wa kupinga,” amesema Perez.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,303FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles