26.2 C
Dar es Salaam
Sunday, November 28, 2021

Erykah Badu akanusha ujauzito

NEW YORK, MAREKANISTAA wa muziki nchini Marekani, Erykah Badu, amekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana ujauzito.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 47, amewataka mashabiki zake wajue kwamba si kila mwaka anapotangaza kupumzika wajue kuwa ana ujauzito.

“Kila wakati nikitangaza kupumzika muziki kwa muda basi lazima nitakuwa na ujauzito, hicho ni kipindi ambacho natakiwa kupumzika na ndio maana najiachia hadi mwili wangu unabadilika.

“Nimeshangaa kuona mashabiki wakitaka kujua mtoto ajaye atakuwa anaitwa nani, sina mpango tena wa kushika ujauzito, watoto watatu nilionao wanatosha,” aliandika mrembo huyo.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,277FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles