22.9 C
Dar es Salaam
Monday, September 9, 2024

Contact us: [email protected]

EPL, Bundesliga na Ligue 1 kuendelea wikiendi hii

Tengeneneza Faida Kwa Kubashiri na Meridianbet!

Baada ya mapumziko ya siku 10 na kupisha michezo ya Kimataifa, sasa soka linarejea tena kwenye ngazi ya vilabu wikiendi hii. Ni wiki ya 4 kwenye ligi nyingi Barani Ulaya, mambo yapo hivi;

Lorient kupambana na Lille katika muendelezo wa Ligue 1 Ijumaa hii. Licha ya kubeba ubingwa msimu uliopita, Lille hawajaonesha makali yao waliyomaliza nayo msimu. Usiwachukulie poa, Odds ya 2.15 ipo kwa Lille kupitia Meridianbet.

Julian Niglesmann kuingoza Bayern Munich itakapowafata RB Leipzig jumamosi hii. Naam! Kocha huyu atakua anarejea nyumbani kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka klabuni hapo. Sambamba na Julian, beki kisiki – Dayot Upamecano pamoja na Marcel Sabitzer watarejea kuchuana na klabu yao ya zamani (Leipzig). Kupitia Meridianbet, ifuate Odds ya 2.30 kwa Bayern Munich.

Dunia nzima itakua pale Old Trafford wakati ambapo, Cristiano Ronaldo atatambulishwa rasmi kurejea Manchester United baada ya miaka 12. United watakua uwanjani kuwaalika Newcastle United, huu ni mchezo ambao ni miongoni mwa michezo mikubwa kwenye historia ya soka la Uingereza. Ni Ole Gunnar Solskjaer au Steve Bruce atakayeondoka na alama 3 muhimu? Odds ya 1.19 ipo kwa Man United ndani ya Meridianbet.

Fumba na kufumbua, jumapili hii hapa – ni Leeds United vs Liverpool. Majogoo wa Uingereza wataingia uwanjani bila kipa wao namba 1 – Alisson Becker wala mshambuliaji wao Roberto Firmino. Upande wa pili, Leeds itamkosa Rafinha lakini itamkaribisha Dan James aliyesajiliwa kutoka Man United. Hapatoshi!!! Tengeneza faida kwa kuifuata Odds ya 1.82 kwa Liverpool.

Jumatatu itahitimishwa kwa mtanange wa Everton vs Burnley, hakuna mechi ndogo ndani ya EPL. Vilevile kwenye dau lako, kila dau unaloliweka, linaweza kukupatia faida maradufu! Ifuate Odds ya 1.80 kwa Everton ukiwa ndani ya Meridianbet.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles