21.2 C
Dar es Salaam
Sunday, August 14, 2022

Ephraim Kibonde azikwa makaburi ya Kinondoni

Elizabeth Joachim, Dar es salaam

Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds Media Group (CMG), Ephraim Kibonde amezikwa leo Machi 10 katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam majira ya sa Kumi jioni.

Kibonde amefariki dunia Machi 7 mwaka huu baada ya kuugua Presha kwa muda mfupi katika hospitali ya Bugando iliyopo mkoani Mwanza.

Msiba huo umeudhuriwa na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe.

Kibonde ameacha watoto watatu Junior, Illaria na Hilda.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,656FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles