Eminem auza viatu kupambana corona

0
885

 NEW YORK, MAREKANI 

RAPA Marshall Mathers III maarufu kwa jina la Eminem, ameviweka sokoni viatu vyake aina ya Jordan 4 Retro kwa ajili ya kukusanya fedha za kusaidia kupambana na virusi vya corona. 

Msanii huyo mwenye miaka 47, anaviuza viatu hivyo kwa kitita cha dola 20,000 ambazo ni zaidi ya milioni 46 za Kitanzania. 

“Nipo tayari kuviuza baadhi ya viatu vyangu kwa kiasi cha dola 20,000 kila jozi kwa ajili ya kukufanya fedha ambazo zitakwenda kusaidia kupambana na virusi vya corona,” aliandika msanii huyo kwenye ukurasa wake wa Twitter. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here