23.8 C
Dar es Salaam
Sunday, October 13, 2024

Contact us: [email protected]

Edgar aingia mazima kwenye Injili

NA CHRISTOPHER MSEKENA

MWANAMUZIKI ambaye pia ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mipango na Maendeleo, Edgar Kasembe, amesema wimbo wake wa Fungua, ndiyo umemwingiza rasmi kwenye muziki wa Injili.

Akizungumza na gazeti ili jana, Edgar alisema tayari ameachia video ya wimbo huo ambao umebeba dhamira ya maombi kwa Mungu juu ya kufungua na kuachia baraka zake.

“Kwanza namshukuru sana mama yangu mzazi, Elizabeth kwa kunipa sapoti katika hatua yangu hii ya kuingia kwenye muziki wa Injili. Nimeachia video ya wimbo huu ambayo tayari ipo YouTube chini ya Prince Gospel Ministries na umetengenezwa na mtayarishaji Hasanool, hivyo hii ni nafasi ya kuingia moja kwa moja kwenye muziki wa Injili,” alisema Edgar.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles