22 C
Dar es Salaam
Sunday, May 28, 2023

Contact us: [email protected]

Dondoo:

Ligi kuu England inaendelea tena mwisho wa wiki hii, huku mchezo mkubwa ukiwa ni Man United dhidi Liverpool (Jumapili, Mei 2, 2021).

Kuelekea katika mchezo huo wa jumapili, tumekuleta dondoo kuelekea mchezo huo.

– Liverpool haijashinda hata mechi moja kati ya tatu za hivi karibuni.

– Man United hawajafungwa katika mechi 13 za hivi karibuni.

– Katika mechi 234 kati ya timu hizo, Man United imeshinda 89, wakati Liver wametamba mara 68.

– Mechi ya mwisho kati ya timu hizo ni ile ya Kombe la FA na Man United ilishinda mabao 3-2.

– Man United itawakosa Anthony Martial, Phil Jones, huku pia kukiwa na hofu juu ya Anthony Martial na Phil Jones.

– Liverpool haitakuwa na Virgil van Dijk, Jordan Henderson, Joe Gomez, Joel Matip, Curtis Jones na Divock Origi, pia kuna uwezekano wa Nathaniel Phillips kutocheza.

– Kikosi cha Man United huenda kikaundwa hivi: Dean Henderson, Aaron Wan-Bissaka, Victor Lindelof, Harry Maguire, Luke Shaw, Scott McTominay, Fred, Marcus Rashford, Paul Pogba, Bruno Fernandes na Edinson Cavani.

– ‘First eleven’ ya Liverpool huenda ikawa hivi: Alisson Becker, Trent Alexander-Arnold, Fabinho, Ozan Kabak, Andrew Robertson, James Milner, Georginio Wijnaldum, Thiago Alcantara, Mohamed Salah, Diogo Jota na Sadio Mane.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,169FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles