25.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 31, 2023

Contact us: [email protected]

Dk.Kijazi: Tutatumia ubabe kwa wanaovuruga utalii wetu

Kamishna Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Dk. Alan Kijazi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa  Wahariri na Wanahabari Waandamizi jijini Mwanza.

Na Eliya Mbonea, Mwanza

Kamishna Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Dk.Allan Kijazi amesema watalazimika kutumia ubabe kwa wote wanaotaka kuvuruga utalii nchini.

Kauli hiyo ameitoa leo Julai 4, jijini Mwanza kwenye mkutano wa mwaka wa TANAPA, Wahariri na Wanahabari Waandamizi uliofunguliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangala.

Akiwasilisha Mada ya Chimbuko na maana ya kuanzishwa mfumo wa Jeshi Usu linalosimamia uhifadhi na misitu Dk.Kijazi amesema tayari wameanza kuona mafanikio ya kuanzishwa kwa mfumo huo.

“Maeneo mengi ujangili umedhibitiwa tunakwenda vizuri mpaka sasa, wanaotaka kuvuruga utalii wetu tutawatisha kwa vifaa vyetu,” amesema Dk.Kijazi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,315FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles