24.1 C
Dar es Salaam
Sunday, September 8, 2024

Contact us: [email protected]

DIAMOND,Ngowi ndani ya Tuzo za TFAA

diamondNA CHRISTOPHER MSEKENA

BAADA A ya kutwaa tuzo tatu za AFRIMA wikiendi iliyopita, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ pamoja na Patrick Ngowi wametajwa kuwania Tuzo za The Future Awards Africa (TFAA) zinazohusu vijana wenye umri kuanzia 18-31 waliofanya vizuri kwenye nyanja tofauti.

Katika tuzo hizo Diamond ameingia kama msanii wa muziki aliyefanya vizuri kwa mwaka huu na Patrick Ngowi ameingia kwenye tuzo hizo kama mjasiriamali wa masuala ya nishati ya jua.

Wabongo hao wanaungana na nyota wengine wa Afrika kama Don Jazzy, Bukola Elemide, Tara Fela, Ndindi Nwuneli, Nnaemeka Ikeguonu, Sangu Delle, Fogblan benchi Haritu na Oramait Alengoil kwenye tuzo hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles