DIAMOND, MORGAN HERITAGE WAINGIA TENA JIKONI

0
2278

BAADA ya kufanya vizuri na wimbo Hallelujah miezi 11 iliyopita, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na kundi maarufu kutoka  Jamaica, Morgan Heritage  wapo nchini Ghana wakifanya video ya kolabo yao nyingine wakishirikiana na msanii nyota nchini humo Stone Bwoy.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here