29.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 28, 2021

Delphin Richard awapa mashabiki ‘Tupendane’

Pennsyvania, Marekani

Mwimbaji wa Injili kutoka nchini Marekani, Delphin Richard, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi makubwa ya wimbo wake, Tupendane.

Akizungumza na www.mtanzania.co.tz amesema wimbo huo, Delphin amesema kupitia wimbo huo milango mingi ya baraka imefunguka kwenye huduma yake na ameweza kuwafikia mashabiki wengi ndani ya muda mfupi.

“Mungu alituagiza tupendane, ndio maana nikapata maono ya kuimba wimbo huu ambao umewagusa watu wengi, video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube na sasa kila mmoja anaweza kuutafuta,” amesema Delphin.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,609FollowersFollow
519,000SubscribersSubscribe

Latest Articles