26.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

Dawa ya TB kwa watoto kuzinduliwa Kenya

Dk. Cherise Scott
Dk. Cherise Scott

NAIROBI, KENYA

DAWA ya kwanza duniani ya kutibu ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) miongoni mwa watoto ilizinduliwa mjini hapa jana.

Hadi kufikia sasa, watoto hutumia dawa zinazotumiwa na watu wazima, ambazo hugawanywa kusagwa na kutiwa katika maji.

Dawa hiyo ni mchanganyiko wa dawa tatu zinazotumiwa kutibu TB zikiwa zimechanganywa kikamilifu na kuwekwa ladha ili kuwavutia watoto kutokana na dawa za sasa kuwa chungu na ugumu wa kuzimeza.

Dk. Cherise Scott, mkurugenzi wa masuala ya magonjwa ya watoto katika muungano wa utengezaji wa dawa za TB, anasema dawa hiyo mpya inaweza kuleta ahueni kwa watoto milioni moja, ambao huambukizwa kifua kikuu kila mwaka pamoja na waangalizi wao.

Kenya ndilo taifa la kwanza kutoa dawa hiyo mpya kwa raia wake huku mataifa zaidi yakitarajiwa kuendelea na utoaji wa dawa hizo katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Ugonjwa wa kifua kikuu unaongoza miongoni mwa magonjwa hatari dunia,na huwaua watu 3000 kila siku.

Dawa hiyo mpya itayasaidia maisha ya watoto zaidi Kukataliwa kwa Trump na Bush mkubwa kunakuja huku vigogo wengi wa chama hicho pia
wakisusa kumpitisha kwa kile wanachosema kuwa yu hatari kwa taifa hilo kutokana na kauli zake za kugawa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles