Davy Dee wa Kenya kuachia ‘Naanza’ Februari 25

0
156

NAIROBI, KENYA

NYOTA wa gospo nchini Kenya, Davy Dee, ameweka wazi nia ya kukata kiu ya mashabiki kupitia wimbo wake mpya, Naanza atakaouachia Februari 25, mwaka huu.

Davy Dee, amesema wimbo huo una mguso wa kipekee na anatamani uwafikie watu wengi ndani na nje ya Kenya hususan mashabiki zake wa Tanzania.

“I sing because i want you to know what our God has allowed me to know , most of the times you already know it and I appreciate you for accepting this grace and trusting me yaani ninaimba kwa sababu nataka ujue ni nini Mungu wetu ameniruhusu ujue kupitia mimi, mashabiki wakae tayari hiyo Februari 25 nitatoka wimbo na mashabiki wanaweza kuanza ku- subscribe chaneli yangu ya YouTube,” amesema

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here