23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

DAR KUAJIRI WAZIKAJI WA WASIOTAMBULIKA


Na JOHANES RESPICHIUS-DAR ES SALAAM  |

HALMASHAURI zote za Jiji la Dar es Salaam zimetakiwa kuajiri watumishi watakaofanya kazi ya kuzika miili ya watu watakaofariki jijini humo na kukosa ndugu wa kuwahifadhi.

Agizo hilo lilitolewa jana Dar es Salaam na Meya wa Jiji, Isaya Mwita, wakati wa kikao cha robo ya pili ya mwaka cha Baraza la Madiwani.

Alisema Jiji lilichukua jukumu la kuwazika marehemu wasiokuwa na ndugu kwa kutoa sanda, gari na dawa ya kuhifadhia miili.

Kutokana na hali hiyo. Mwita alisema halmashauri hizo zinapaswa kutoa …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti MTANZANIA
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,301FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles