27.5 C
Dar es Salaam
Sunday, December 3, 2023

Contact us: [email protected]

Chuo kikuu cha Ethiopia kuanza kufundisha Kiswahili

Addis Ababa, Ethiopia

Chuo Kikuu cha Addis Ababa nchini Ethiopia kitaanza kufundisha lugha ya Kiswahili baada ya kutia saini makubaliano na chuo kimoja kikuu cha Tanzania.

Masomo hayo ya lugha yatafanikishwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Hatua hiyo inajiri siku chache baada ya Umoja wa Afrika kupitisha Kiswahili kama lugha rasmi ya kazi.

Kiswahili kinazungumzwa katika nchi kadhaa za Kiafrika.

Unesco mwaka jana ilitangaza Julai 7, kuwa siku rasmi duniani ya kuadhimisha lugha ya Kiswahili.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles