27.3 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 1, 2021

Chris Brown aongeza ‘Tattoo’ ya Son Aeko

New York, Marekani

STAA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown, ameongeza mchoro mwilini mwake wa mtoto wake wa kiume anayejulikana kwa jina la Aeko.

Hii sio mara ya kwanza kwa msanii huyo kuchora picha ya mtoto wake mwilini, awali alifanya hivyo baada ya kupata mtoto wake wa kwanza Royalty mwenye umri wa miaka mitano.

Sasa amefanya hivyo tena baada ya kumpata mtoto wa kiume mapema mwezi huu anayejulikana kwa jina la Aeko, hivyo ameamua kuichora sura yake kwenye mkono wa kushoto.

Mapema wiki iliopita msanii huyo aliweka wazi kuwa, maisha yake yamebadilika kwa kiasi kikubwa baada ya kuitwa baba, hivyo muda wake mwingi anautimia kuwa na watoto wake hao.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,554FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles