26.7 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 7, 2021

Chris Brown afurahia ‘bifu’ la Cardi B, Nicki Minaj

LOS ANGELES, MAREKANI

KWA mujibu wa mtandao wa HollywoodLife, staa wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown, anadaiwa kufurahia mgogoro kati ya rapa Cardi B na Nicki Minaj.

Chris Brown ambaye mwaka huu amekuwa kando kwenye migogoro, amedai muziki wa hip hop unataka ushindani wa aina hiyo, hivyo haoni tatizo kwa warembo hao kupishana kauli kila siku.

“Chris hana tatizo na Nicki Minaj, pia ni shabiki mkubwa wa muziki wa Cardi B, hivyo anapenda kuona wawili hao wakiendelea kuwa na mgogoro ili waweze kuufanya muziki wao kuwa juu zaidi,” kilisema chanzo hicho cha habari.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,424FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles