23.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 3, 2023

Contact us: [email protected]

Chirwa, Makame rasmi Namungo FC

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital

Nyota waliowahi kukipiga  Yanga, Obrey Chirwa na Abdulazizi Makame, wamejiunga na timu ya Namungo yenye maskani yake Ruangwa, mkoani Lindi.

Msimu uliopita Chirwa alichezea Azam FC, huku Makame akichezea Yanga kabla ya kutolewa kwa mkopo Polisi Tanzania.

Abdulazizi Makame

Tofauti na wachezaji hao, Namungo imemsajili  Abdulmalik Zakaria ,,ikiwa ni  maboresho ya kikosi hicho kuelekea msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles